Kumbukumbu La Sheria 11:24 BHN

24 Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; nchi yenu itaenea kutoka jangwani, upande wa kusini, hadi milima ya Lebanoni upande wa kaskazini, na kutoka mto Eufrate upande wa mashariki, hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 11

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 11:24 katika mazingira