Kumbukumbu La Sheria 11:25 BHN

25 Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuwakabili. Popote mtakapokwenda katika nchi hiyo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawatia watu hofu wawaogope, kama alivyowaahidi.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 11

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 11:25 katika mazingira