Kumbukumbu La Sheria 12:20 BHN

20 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atakapoipanua nchi yenu, kama alivyoahidi, nanyi mtasema, ‘Tutakula nyama’, kwa vile mnapenda kula nyama, mnaweza kula nyama kiasi chochote mnachotaka.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 12

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 12:20 katika mazingira