Kumbukumbu La Sheria 12:21 BHN

21 Basi, mahali atakapochagua Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aweke jina lake, hapo mnaweza kuchinja ng'ombe au kondoo yeyote ambaye Mwenyezi-Mungu amewajalia, kama nilivyowaamuru, na mnaweza kula kiasi chochote mnachotaka cha nyama hiyo, kama mkiwa katika miji yenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 12

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 12:21 katika mazingira