Kumbukumbu La Sheria 12:7 BHN

7 Huko, mtakula mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na mtafurahi nyinyi pamoja na watu wa nyumbani mwenu kwa ajili ya mafanikio yenu aliyowabarikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 12

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 12:7 katika mazingira