Kumbukumbu La Sheria 12:6 BHN

6 Huko mtapeleka tambiko zenu za kuteketezwa na sadaka zenu, zaka zenu za matoleo yenu, sadaka zenu za nadhiri, matoleo yenu ya hiari na wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 12

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 12:6 katika mazingira