Kumbukumbu La Sheria 13:3 BHN

3 msisikilize maneno yake nabii huyo au mtabiri wa ndoto, kwa maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawatumia wao kuwajaribu, ili ajue kama mnampenda yeye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote na kwa roho yenu yote.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 13

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 13:3 katika mazingira