Kumbukumbu La Sheria 13:4 BHN

4 Mfuateni na kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika amri zake na kuitii sauti yake; mtumikieni na kuambatana naye.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 13

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 13:4 katika mazingira