Kumbukumbu La Sheria 13:5 BHN

5 Lakini nabii huyo au mtabiri wa ndoto atauawa, kwa sababu atakuwa amewafundisha uasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka utumwani, ili muiache njia ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliwaamuru muifuatea. Hivyo ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 13

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 13:5 katika mazingira