18 Wala usione ugumu utakapomwacha huru mtumwa wako, maana, amekutumikia kwa muda wa miaka sita kwa nusu ya ujira wa mtumishi wa kuajiri. Fanya hivyo, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wako atakubariki kwa kila utakalofanya.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 15
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 15:18 katika mazingira