Kumbukumbu La Sheria 17:16 BHN

16 Hata hivyo, asiwe na farasi wengi kwa ajili yake mwenyewe, wala asiwarudishe watu Misri ili kujipatia farasi zaidi, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amewaonya, ‘Kamwe msirudi huko tena’.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 17

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 17:16 katika mazingira