Kumbukumbu La Sheria 17:15 BHN

15 mwaweza kumweka mfalme juu yenu mtu ambaye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atamchagua. Mtamweka mmojawapo wa ndugu zenu kuwa mfalme juu yenu. Msimfanye mgeni asiye ndugu yenu kuwa mfalme wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 17

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 17:15 katika mazingira