Kumbukumbu La Sheria 18:16 BHN

16 Hicho ndicho mlichomwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kule Horebu, siku ile mlipokusanyika na kusema, ‘Tusisikie tena sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, wala tusiuone tena moto huu mkubwa, tusije tukafa!’

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 18

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 18:16 katika mazingira