3 Mtatengeneza barabara na kugawa katika sehemu tatu nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia muimiliki ili kila anayemuua mtu bila kukusudia apate kukimbilia huko.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:3 katika mazingira