Kumbukumbu La Sheria 19:4 BHN

4 “Mtu akimuua mwenzake bila kukusudia, naye hakuwa adui yake, anaweza kukimbilia mmojawapo wa miji hii, akayaokoa maisha yake.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:4 katika mazingira