9 ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake – basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu,
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:9 katika mazingira