10 ili mtu asiye na hatia asije akauawa katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia kuwa yenu, na hivyo kuwasababisha kuwa na hatia ya mauaji.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:10 katika mazingira