7 Kuna mwanamume yeyote hapa aliyeposa na yuko karibu kuoa? Arudi nyumbani, asije akafia vitani, na mwanamume mwingine akaoa mchumba wake.’
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 20
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 20:7 katika mazingira