Kumbukumbu La Sheria 22:4 BHN

4 “Ukiona punda au ng'ombe wa nduguyo ameanguka njiani, usiache kumsaidia nduguyo; utamsaidia kumwinua.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 22

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 22:4 katika mazingira