Kumbukumbu La Sheria 22:5 BHN

5 “Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 22

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 22:5 katika mazingira