Kumbukumbu La Sheria 22:6 BHN

6 “Ukikuta kiota cha ndege mtini au njiani, kina makinda au mayai na mamandege ameyafunika hayo makinda au mayai, usimchukue mamandege na makinda yake.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 22

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 22:6 katika mazingira