Kumbukumbu La Sheria 23:20 BHN

20 Unaweza kutoza riba unapomkopesha mgeni, lakini ndugu yako Mwisraeli usimtoze riba, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, atakubariki katika shughuli zako zote utakazofanya katika nchi ambayo unakwenda kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:20 katika mazingira