Kumbukumbu La Sheria 23:21 BHN

21 Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:21 katika mazingira