23 Uwe mwangalifu kutimiza nadhiri uliyotamka kwa mdomo wako, maana ulimwahidi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, kwa hiari yako.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:23 katika mazingira