Kumbukumbu La Sheria 23:24 BHN

24 “Ukipitia katika shamba la mzabibu la jirani yako unaweza kula zabibu kadiri uwezavyo, lakini usichume na kuchukua zabibu zozote kikapuni mwako.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:24 katika mazingira