4 kwa sababu walikataa kuwapatia chakula na maji mlipokuwa njiani kutoka Misri, na kwa kuwa walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori kule Mesopotamia, awalaani.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:4 katika mazingira