Kumbukumbu La Sheria 23:5 BHN

5 Lakini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, hakumsikiliza Balaamu; badala yake laana hiyo iligeuka kuwa baraka, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwapenda.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 23

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 23:5 katika mazingira