64 Mwenyezi-Mungu atawatawanya miongoni mwa mataifa yote, kutoka pembe moja ya dunia hadi nyingine na huko mtaitumikia miungu mingine ya miti na mawe, miungu ambayo nyinyi wala wazee wenu hawakuijua.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:64 katika mazingira