65 Hamtakuwa na raha yoyote mahali penu wenyewe pa kutulia wala miongoni mwa mataifa hayo. Ila Mwenyezi-Mungu atawapeni huko wasiwasi wa moyo, kufifia kwa macho na mahangaiko ya rohoni.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:65 katika mazingira