68 Mwenyezi-Mungu atawarudisheni Misri kwa meli, safari ambayo aliahidi kwamba hamngeifanya tena. Huko mtajaribu kujiuza kwa maadui zenu kuwa watumwa, lakini hakuna mtu atakayewanunua.”
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 28
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 28:68 katika mazingira