Kumbukumbu La Sheria 29:1 BHN

1 Haya ni maneno ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru Mose kufanya na Waisraeli katika nchi ya Moabu, licha ya agano Mwenyezi-Mungu alilofanya nao mlimani Horebu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:1 katika mazingira