Kumbukumbu La Sheria 29:2 BHN

2 Mose aliwaita pamoja Waisraeli wote akawaambia, “Mliona nyinyi wenyewe jinsi Mwenyezi-Mungu alivyomtendea mfalme wa Misri, maofisa, watumishi wake na nchi yake yote.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:2 katika mazingira