19 Kama baada ya kusikia maneno ya agano hili ambayo mmeapishwa, halafu mtu akajiamini mwenyewe moyoni mwake na kusema atakuwa salama, hata kama atafuata ukaidi wake mwenyewe, hiyo itawaangamiza wote, wabaya na wema.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:19 katika mazingira