Kumbukumbu La Sheria 29:20 BHN

20 Mwenyezi-Mungu hatasamehe mtu huyo, nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu na wivu wake vitamwakia mtu huyo; laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamjia, naye Mwenyezi-Mungu atalifuta kabisa jina la mtu huyo kutoka duniani.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:20 katika mazingira