Kumbukumbu La Sheria 3:17 BHN

17 Upande wa magharibi nchi yao ilienea hadi mto Yordani, toka ziwa Galilaya upande wa kaskazini, ukashuka hadi bahari ya Araba, yaani Bahari ya Chumvi, mpaka miteremko ya Pisga, upande wa mashariki.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 3

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 3:17 katika mazingira