Kumbukumbu La Sheria 3:18 BHN

18 “Wakati ule niliwapa maagizo haya: ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amewapeni nchi hii mashariki ya mto Yordani iwe mali yenu. Sasa nyinyi mashujaa kati ya ndugu zenu, chukueni silaha mvuke mto Yordani mkiwa mbele ya ndugu zenu Waisraeli.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 3

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 3:18 katika mazingira