Kumbukumbu La Sheria 32:17 BHN

17 Walitambikia majini ambayo hayakuwa miungu,waliiendea miungu ambayo hawakuijua kamwe,miungu mipya iliyotokea siku za karibuni,ambayo wazee wao hawakuiheshimu kamwe.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 32

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 32:17 katika mazingira