Kumbukumbu La Sheria 32:7 BHN

7 Kumbukeni siku zilizopita,fikirieni miaka ya vizazi vingi;waulizeni baba zenu nao watawajulisha,waulizeni wakubwa wenu nao watawaeleza.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 32

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 32:7 katika mazingira