Kumbukumbu La Sheria 32:6 BHN

6 Mnawezaje kumlipa hivyo Mwenyezi-Mungu,enyi watu wapumbavu na msio na akili?Je, yeye siye Baba yenu aliyewaumba,aliyewafanya na kuwaimarisha?

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 32

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 32:6 katika mazingira