10 Na wawafundishe wazawa wa Yakobo maagizo yako;wawafundishe watu wa Israeli sheria yako.Walawi na wafukize ubani mbele yako,sadaka nzima za kuteketezwa madhabahuni pako.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 33
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 33:10 katika mazingira