Kumbukumbu La Sheria 4:14 BHN

14 Wakati huo Mwenyezi-Mungu aliniamuru niwafundishe masharti na maagizo yote ambayo mnapaswa kuyatekeleza katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:14 katika mazingira