Kumbukumbu La Sheria 4:15 BHN

15 “Kwa hiyo muwe waangalifu msije kusahau kwamba: Mwenyezi-Mungu alipoongea nanyi kule mlimani Horebu katikati ya moto hamkumwona kwa umbo. Kwa sababu hiyo jihadharini sana,

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:15 katika mazingira