Kumbukumbu La Sheria 4:20 BHN

20 Lakini nyinyi ndio watu aliowakomboa kutoka Misri katika tanuri la chuma. Aliwatoeni huko ili muwe watu wake kama vile mlivyo hivi leo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:20 katika mazingira