21 Kwa sababu yenu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alinikasirikia, akaapa kwamba mimi sitavuka mto Yordani kuingia katika nchi ile nzuri anayowapeni iwe mali yenu.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:21 katika mazingira