Kumbukumbu La Sheria 5:24 BHN

24 wakasema, ‘Sikiliza! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametufunulia utukufu na ukuu wake; tumeisikia sauti yake kutoka katikati ya ule moto. Leo hivi tumemwona Mungu akiongea na binadamu, naye binadamu badala ya kufa akaendelea kuishi!

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 5

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 5:24 katika mazingira