25 Lakini ya nini kujitia katika hatari ya kufa kwa kuteketezwa na ule moto mkubwa? Tukiisikia tena sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, tutakufa!
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 5
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 5:25 katika mazingira