Kumbukumbu La Sheria 6:1 BHN

1 “Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 6

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 6:1 katika mazingira