2 Wakati wote mlipo hai, mtapaswa kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuzitii kanuni zote na amri ninazowapeni nyinyi na wazawa wenu ili mpate kuishi maisha marefu.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 6
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 6:2 katika mazingira