13 Atawapenda na kuwabariki, nanyi mtaongezeka na kuwa na wazawa wengi; atayabariki mashamba yenu ili mpate nafaka, divai na mafuta; atawabariki kwa kuwapeni ng'ombe na kondoo wengi katika nchi aliyowaahidi babu zenu kuwa atawapeni nyinyi.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:13 katika mazingira