Kumbukumbu La Sheria 7:24 BHN

24 Atawatia wafalme wao mikononi mwenu. Mtawaua, nao watasahaulika. Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuwazuia, mpaka mtakapowaangamiza.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:24 katika mazingira